Habari
WATUMISHI DMI WATAKIWA KUTUMIA BONANZA KUJIPANGA VIZURI KWA MAFANIKIO YA TAASISI...
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar Es Salaam Dk.Tumaini Gurumo amesema kuwa mafanikio ya DMI mwaka 2022 yametokana na umoja wa utendaji kazi wa w...
Read MoreMAOFISA KUTOKA IDARA NA VITENGO VYA DMI WAPATIWA MAFUNZO YA MENEJIMENTI UDHIBITI...
Maafisa kutoka idara na vitengo mbalimbali wa Chuo cha Bahari Dar es salaam (DMI) leo wamepatiwa mafunzo ya uelewa wa pamoja juu ya udhibiti &nb...
Read MoreWATUMISHI WA TEMESA WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA BAADA YA MAFUNZO WANAYOPATIWA KAT...
Naibu katibu mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Ludovick Nduhiye amewataka watumishi wa TEMESA wanaojiunga na mafunzo katika chuo cha DMI kusoma k...
Read MoreWAHITIMU WATAKIWA KUTUMIA TAALUMA YAO KUINUA UCHUMI WA TAIFA
Serikali imewataka wahitimu wa kozi mbali mbali za Sekta ya bahari nchini kuhakikisha wanatumia ujuzi walioupata kushauri namna bora za kutu...
Read MoreNAIBU WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA ATEMBELEA CHUO CHA BAHARI DAR ES SA...
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Juma Kipanga (MB) amefanya ziara ya kutembelea katika Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) na k...
Read MoreMAFUNZO YA UANDAAJI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI KUPITIA MFUMO WA PLANREP
Maafisa bajeti wapatao 17 kutoka Idara na Vitengo mbalimbali katika chuo cha bahari Dar es Saalam wapatiwa mafunzo ya namna ya kuandaa na kutekeleza b...
Read MoreCHUO CHA BAHARI DAR ES SALAAM KATIKA VIWANJA VYA MAONESHO YA NANENANE– MBEYA
Chuo cha Bahari Dar Es Salaam katika viwanja vya Nanenane vya John Mwakangale vilivyopo Jijini Mbeya kimeendelea na harakati za kuelezea fursa mbalimb...
Read MoreCHUO CHA BAHARI DAR ES SALAM KINAENDELEA KUWA KITOVU CHA UBOBEZI KATIKA FANI YA...
Chuo cha Bahari Dar es Salaam kinaendelea kuwa kitovu cha Ubobezi katika fani ya Uchumi wa Bluu (Blue Economy) katika kanda ya Afrika Mashariki na Afr...
Read MoreSERIKALI YA VISIWA VYA SHELISHELI KUANZISHA KOZI YA UZAMIAJI
Serikali ya Visiwa vya Shelisheli imesema inatarajia kuanzisha kozi ya Uzamiaji nchini Tanzania kwa kushirikiana na Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI...
Read MoreUCHUMI WA BLUU KATIKA KUKUZA PATO LA TAIFA
Serikali imesema itaendelea kuwekeza kwenye rasilimali mafunzo kupitia Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) ili kuhakikisha dhamira ya Serikali ya kutu...
Read MoreWATUMISHI WA CHUO CHA BAHARI DAR ES SALAAM WASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFA...
Watumishi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) wameungana na wafanyakazi duniani katika kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi) k...
Read More