Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakipatiwa maelezo mafupi kuhusu mtambo wa kujifunzia na kufundishia unaojulikana kama Full Mission Engine Room and Bridge Simulator
Wanafunzi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam wakifanya mafunzo kwa vitendo kwenye karakana
Picha ya pamoja ya Mabaharia wa Kike wa DMI wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake yaliyofanyika kitaifa Arusha machi 8, 2025
Wanafunzi wa DMI wakiwa kwenye maafunzo ya Mbinu ya uokozi binafsi (personal survival technique) kwa vitendo, kozi ambayo ni ya lazima kwa kila Baharia.
Mwanafunzi wa Stashahada ya Uhandisi wa Mafuta na Gesi (Basic technician Certificate in Oil and Gas Engineering) akiwa katika somo la Mafunzo kwa vitendo ya Kulehemu na Utengenezaji wa Chuma (Welding and metal fabrication)
Kamilisha ndoto zako za Ubaharia na Sekta ya Bahari kwa kupata Elimu na Mafunzo katika Chuo cha Bahari Dar es Salaam
Wavuvi wa Lindi wakipatiwa elimu ya matumizi sahihi ya vifaa vya uokozi wanapokuwa kwenye shughuli za uvuvi na Mtaalamu kutoka DMI
Kuwa taasisi bora katika mafunzo, utafiti na ushauri katika taaluma za baharini na zinazohusiana
Dira
Kutoa mafunzo ya hali ya juu yanayo endeshwa na mahitaji, utafiti na huduma za ushauri katika taaluma za baharini na taaluma zinazo husiana katika ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara na kwingineko