Habari
UONGOZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI DMI WAPIGWA MSASA
Chuo cha Bahari Dar es Salaam leo kupitia Ofisi ya mshauri wa wanafunzi kimetoa semina kwa viongozi wapya wa serikali ya wanafunzi wa chuo...
Read MoreWADAU WA ELIMU WAKUTANA KUTOA MAONI JUU YA MITAALA.
Wadau Elimu ya juu nchini leo wamekutana katika Chuo cha Bahari Dar es Salaam kwenye ukumbi wa chuo (Hall 2) kutoa maoni yao kuhusu mitaal...
Read MoreWATUMISHI TUDUMISHE USHIRIKIANO KAZINI- DKT TUMAINI
Watumishi wa Chuo Cha Bahari Dar es salaam (DMI) wamehimizwa kudumisha ushirikiano ili waweze kutekeleza majukumu ya Taasisi kupitia bajeti iliyopangw...
Read MoreHONGERA DMI KWA KUENDELEA KUTOA MAFUNZO YA UBAHARIA KWA MAENDELEO YA UCHUMI WA B...
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Atupele Mwakibete (MB), amekipongeza Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kwa kuendelea kutoa mafunzo ya Ubaha...
Read MoreDMI: MAFUNZO YA BAHARI YAIMARIKA KIMATAIFA
Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kimeendelea kuimarisha ushirikiano na mataifa ya nje katika kutoa mafunzo ya vitendo melini kwa wanafunzi wake....
Read MoreDMI YATOA VYETI KWA WAHITIMU TISA (9) WALIODHAMINIWA NA FAO
Chuo cha Bahari Dar es Salaam leo kimetoa vyeti kwa wanafunzi 9 kutoka Tanzania, Kenya na Uganda waliodhaminiwa na Shirika la Chakula na Kilimo Dunian...
Read MoreUCHUMI WA BULUU NI FURSA, WATANZANIA JITOKEZENI KUCHANGAMKIA.
Waziri wa Uchumi wa Bluu na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Mhe.Suleiman Masoud Makame, amewaasa Watanzania kujitokeze kwa wingi kuchangamk...
Read MoreVIJANA WAKIKE WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO KATIKA SEKTA YA USAFIRI WA MA...
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mhe.Hassan Masala , akisoma taarifa ya kufungwa kwa maadhimisho ya siku ya mabaharia Duniani leo kwenye viwanja vy...
Read MoreMABAHARIA WAMETAKIWA KUWA MABALOZI WA KULINDA NA KUTUNZA MAZINGIRA YA MAJI NA KU...
Tuunge mkono juhudi na kuwa mabalozi wazuri wa kulinda mazingira ya maji ili yaweze kututunza sisi pamoja na rasilimali zinazopatikana katika maji....
Read MoreMAADHIMISHO YA SIKU YA MABAHARIA DUNIANI YATUMIKE KUJADILI HALI ZA MABAHARIA KW...
Serikali imewataka wadau wa Sekta ya Uchukuzi kwa njia ya maji Nchini kutumia fursa ya maadhimisho ya siku ya Mabaharia Duniani kujadili na kutafakari...
Read MoreDMI,TASAC NA MAMLAKA YA BAHARI YA BAHAMAS LONDONI UINGEREZA KUSHIRIKIANA KUKUZA...
Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), Dkt. Tumaini Shabani Gurumo, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Bw. Kaimu A....
Read MoreWOMESA WAENDESHA MAFUNZO JINSI YA KUFIKIA MALENGO KWA WANAFUNZI WA KIKE WA DMI
Umoja wa wanawake waliopo kwenye Sekta ya Bahari na Bandari (womesa) jana tarehe 19 wameendesha semina ya mafunzo kwenye ukumbi wa 6 uliopo Chuo cha B...
Read More