WAHITIMU 1326 WATUNUKIWA VYETI MAHAFLI YA 19 DMI
Dec 04, 2023

Mahafali ya 19 Chuo Cha Bahari Dar es Salaam (DMI) ambapo jumla ya Wanafunzi 1326 wamehudhurishwa na Naibu Waziri wa UChukuzi Mhe.David Kihenzile tare...

Read More
SERIKALI YAOMBWA KUISAIDIA DMI MELI YA MAFUNZO KWA VITENDO
Dec 04, 2023

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bahari Zanzibar, Bi.Sheikha Mohamed ameiomba Serikali kukiwezesha Chuo Cha Bahari Dar es salaam kuwa na Meli ya Mafunzo kutok...

Read More
NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI MHE. DAVID M. KIHENZILE ATEMBELEA CHUO CHA BAHARI DAR E...
Nov 23, 2023

Na Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Mhe. David M. Kihenzile (MB), Naibu Waziri wa Uchukuzi jana amefanya ziara katika Chuo cha Bahari Dar es Sala...

Read More
WAJUMBE WA BODI YA DMI WATEMBELEA MTAMBO WA KISASA WA KUFUNDISHIA CRANE SIMULATO...
Nov 10, 2023

Wajumbe wa Bodi ya Chuo cha Bahari Dar es salaam (DMI) wamefanya ziara ya kuona utendaji kazi wa mtambo wa kisasa wa kufundishia CRANE SIMULATOR wenye...

Read More
BILIONI MBILI ZATUMIKA KUNUNULIA MTAMBO WA KUFUNDISHIA CHUO CHA BAHARI DAR ES SA...
Nov 07, 2023

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Uchukuzi imetumia zaidi ya shilingi bilioni mbili nukta tano(2,744,106,712.35) kununulia...

Read More
WADAU WAKUTANA KUTOA MAONI KUHUSU MPANGO WA DMI WA KUKABILINA NA MAJANGA
Oct 24, 2023

Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es salaam Dkt.Tumaini Gurumo  amewakaribisha na kuwaomba kushiriki kikamilifu wadau walioshiriki warsha ya kutoa maon...

Read More
DMI YAINGIA MKATABA WA KUBADILISHANA UZOEFU NA CHUO CHA ITALY.
Oct 23, 2023

Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kimeingia makubaliano ya Mashirikiano ( MoU) na Chuo cha Italian Shipping Academy Kilichopo nchini Italy. Makub...

Read More
DMI YAWASHUKURU WADAU WA ELIMU YA JUU KWA MICHANGO YA UHUISHAJI MITAALA
Oct 18, 2023

Kaimu Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam Dkt. Wilfred J. Kileo amewashukuru Wadau wa balimbali kwa michango yao waliyoitoa yenye lengo la kuboresha...

Read More
DMI NA NAMIBIA KUJENGA USHIRIKIANO WA KIMAFUNZO
Oct 12, 2023

Uongozi wa Chuo cha Bahari Dar es salaam ukiongozwa na Kaimu Mkuu wa Chuo Eng. Juma Kapaya, leo wamekutana na kufanya mazungumzo yenye lengo la kujeng...

Read More
CHUO CHA BAHARI DAR ES SALAAM CHAINGIA MAKUBALIANO NA CHUO CHA BAHARI NA UVUVI C...
Sep 25, 2023

Mkuu wa chuo cha Bahari Dar es Salaama (DMI) Dkt Tumaini Gurumo amesema chuo hicho kimeingia makubaliano ya miaka mitano ya kubadilishana uzoefu wa el...

Read More
DMI YATAKIWA KUHAMASISHA VIJANA WA KIKE KUJIUNGA NA FANI ZA UBAHARIA
Sep 25, 2023

Waziri wa Uchukuzi Mhe.Prof.Makame M. Mbarawa amekitaka Chuo cha Bahari Dar es Salaam kuongeza jitihada za kuhamasisha Vijana wa kike kujiunga na...

Read More
DMI YAZINDUA DAWATI LA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA.
Sep 10, 2023

  Uongozi wa Chuo cha Bahari Dar es salaam (DMI) umeelekezwa kusaidia dawati la kupinga ukatili wa kijinsia kutekeleza majukumu yake na kuwa e...

Read More