WANAFUNZI WENGINE WATANO KUSHIRIKI MAFUNZO KWA VITENDO MELINI KOREA KUSINI.
Aug 09, 2024

Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kimefanikiwa kuwapeleka wanafunzi watano kufanya mafunzo kwa vitendo melini katika Chuo cha Bahari cha Korea KIMFT...

Read More
DMI KUHAMASISHA WANAFUNZI WA KIKE KUJIUNGA NA UBAHARIA
Jul 18, 2024

Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kimewataka wahitimu wanawake wa kidato cha sita cha mwaka huu kujitokeza kujiunga na kada ya ubaharia katika chuo...

Read More
HIFADHINI VIUMBE NA KULINDA MAZINGIRA YA BAHARINI - DKT. BITEKO
Jul 04, 2024

  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kulinda viumbe vya baharini na kuhifadhi mazingira ya bah...

Read More
DMI NA GHANA YAUNGANA KUANDAA KONGAMANO LA TATU LA UCHUMI WA BULUU
Jun 27, 2024

Moja ya kazi mama ya taasisi ya Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) ni kuandaa makongamano ya kitaaluma yenye lengo la kuelimisha jamii kuhusu faida y...

Read More
MABAHARIA KUTOKA CHUO CHA BAHARI DAR ES SALAAM (DMI) WAUNGANA NA MABAHARIA NCHIN...
Jun 23, 2024

Timu ya Mabaharia kutoka chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), leo wameungana na mabaharia nchini kwa kufanya usafi katika baadhi ya fukwe zilizopo Bag...

Read More
CHUO CHA BAHARI DAR ES SALAAM (DMI) CHASHIRIKI SIKU YA MABAHARIA DUNIANI
Jun 23, 2024

Chuo cha Bahari Dar Es Salaam (DMI) kimeshiriki katika maonesho ya Siku ya Mabaharia Duniani ambayo kitaifa yanaadhimishwa katika viwanja vya Nia Njem...

Read More
DMI YAWAFIKIA WAKAZI WA TANGA MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU
May 26, 2024

Chuo cha Bahari Dar es salaam (DMI) kinashiriki maadhimisho ya wiki ya Elimu, Ujuzi na Ufundi yanayofanyika Tanga kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondar...

Read More
MAFUNZO KWA VITENDO KWA WANAFUNZI
May 10, 2024

Wanafunzi wa Stashahada ya Uhandisi wa Mafuta na Gesi (Basic technician Certificate in Oil and Gas Engineering) wakiwa katika somo la Mafunzo kwa vite...

Read More
DMI NA SHULE YA SAYANSI YA MAJINI YAJIPANGA KUSHIRIKIANA
May 09, 2024

Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) Dkt. Tumaini Gurumo leo amekutana na Mkuu wa Shule ya Sayansi ya Majini na Teknolojia ya Uvuvi (Dean-Schoo...

Read More
MAFANIKIO YA DMI MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANZANIA
May 03, 2024

  Tafadhali bofya link hii kusoma. https://www.dmi.ac.tz/uploads/text-editor/files/MAFANIKIO YA DMI MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANZANIA _17147...

Read More
UJUMBE KUTOKA WORLD MARITIME UNIVERSITY-SWEDEN WATEMBELEA DMI
Apr 19, 2024

Ujumbe kutoka World Maritime University (WMU) umetembelea Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kwa lengo la kuona maendeleo ya utendaji kazi wa Chuo, p...

Read More
KUKARIBISHA MABAHARIA KUJIUNGA NA MASOMO YA LUGHA YA KIINGEREZA DMI
Apr 19, 2024

 DMI, In collaboration with Ocean technologies group of UK, Is pleased to announce the provision of Marlins English Test  for Seafarers and...

Read More