Dira na Dhima

DIRA

Kuwa taasisi bora katika mafunzo, utafii na ushauri katika taaluma za baharini na zinazohusiana.

DHIMA

Kutoa mafunzo ya hali ya juu yanayo endeshwa na mahitaji, utafiti na huduma za ushauri katika taaluma za baharini na taaluma zinazohusiana katika ukanda wa kusini mwa jangwa la sahara na kwingineko.