Wanafunzi wa kozi za uhandisi wakifanya mafunzo ya vitendo kwenye karakana ya uhandisi iliyopo chuoni
Karakana ya kisasa ya mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi wa uhandisi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI)
Picha ya pamoja ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Jangwani mara baada ya kufungua Kogamano la Wadau wa Uchumi wa Buluu lililofanyika tarehe 10 Septemba Kingjada Hoteli
Wanafunzi wa DMI wakiwa kwenye maafunzo ya Mbinu ya uokozi binafsi (personal survival technique) kwa vitendo, kozi ambayo ni ya lazima kwa kila Baharia.
Mwanafunzi wa Stashahada ya Uhandisi wa Mafuta na Gesi (Basic technician Certificate in Oil and Gas Engineering) akiwa katika somo la Mafunzo kwa vitendo ya Kulehemu na Utengenezaji wa Chuma (Welding and metal fabrication)
Wavuvi wa Lindi wakipatiwa elimu ya matumizi sahihi ya vifaa vya uokozi wanapokuwa kwenye shughuli za uvuvi na Mtaalamu kutoka DMI
Kuwa taasisi bora katika mafunzo, utafiti na ushauri katika taaluma za baharini na zinazohusiana
Dira
Kutoa mafunzo ya hali ya juu yanayo endeshwa na mahitaji, utafiti na huduma za ushauri katika taaluma za baharini na taaluma zinazo husiana katika ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara na kwingineko