Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Maelezo mafupi yatakayo elezea jinsi ya kujisajili na chuo cha TAASISI YA BAHARI YA DAR ES SALAAM(DMI): Fungua tovuti ya DMI ambayo ni www.dmi.ac.tz kisha itafunguka sehemu ya tovuti yetu. Bofya sehemu iliyo andikwa maombi kwa mtandao kisha soma maelekezo yaliyomo katika iyo sehemu iliyo...
Naomba maelekzo namna ya kufika chuoni
Kama hujaridhishwa na matokeo yako ya mitihani,Nenda ofisi ya examination office,jaza form za kuapeal,lipia gharama za kuabili.then subiri majibu yako ya apeal.   NOTE:Appeal zote lazima ziwasilishwe kwenye ofisi hii kwa maandishi
Ada zote zinatakiwa kulipwa kupitia benki ya NMB kwa namba XXXX XXXX XXXX XXX au CRDB kwa namba XXXX XXXX XXXX XXXX. Utaomba Control number kupitia mfumo wa OSIM.
Tafadhali, Naomba kujua namna ya kufika chuoni.