MAFUNZO KWA VITENDO KWA WANAFUNZI

10 May, 2024
MAFUNZO KWA VITENDO KWA WANAFUNZI

Wanafunzi wa Stashahada ya Uhandisi wa Mafuta na Gesi (Basic technician Certificate in Oil and Gas Engineering) wakiwa katika somo la Mafunzo kwa vitendo ya Kulehemu na Utengenezaji wa Chuma (Welding and metal fabrication) yaliyofanyika kwenye Karakana ya mafunzo iliyopo Chuoni.

Chuo Cha Bahari Dar es Salaam kimebobea katika utoaji wa Elimu na Mafunzo ya Bahari yanayowezesha Taifa kupata wataalamu wenye ufanisi na Weledi.