KIKAO CHA BODI KWA ROBO YA TATU YA MWAKA 2023/2024 CHA KUJADILI TAARIFA ZA MAENDELEO CHAFANYIKA

13 Apr, 2024
KIKAO  CHA BODI KWA ROBO YA TATU YA MWAKA 2023/2024 CHA KUJADILI TAARIFA ZA MAENDELEO CHAFANYIKA

Kikao hiki kimefanyika tarehe 12/4/2024 kwenye ukumbi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) ikiwa ni utaratibu wa kawaida wa kujadili taarifa mbalimbali zinazohusu Chuo. Kikao hiki kiliongozwa na Mwenyekiti wa Bodi Nahodha Ernest Bupamba na kuhudhuriwa na wajumbe wa bodi pamoja na timu ya menejimenti ya Chuo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam Nahodha Ernest Bupamba akiongoza kikao cha robo yaa tatu kwa mwaka wa fedha 2023/2024 kwenye ukumbi wa mikutano wa Chuo.

Wajumbe wa Bodi ya Magavana ya Chuo wakifutilia kikao

Wajumbe wa Bodi ya Magavana wa Chuo na viongozi wa menejimenti wakifuatilia kikao.

Baadhi ya wajumbe wa menejimenti wakifuatilia kikao.