Jinsi ya kujisajili
Maelezo mafupi yatakayo elezea jinsi ya kujisajili na chuo cha TAASISI YA BAHARI YA DAR ES SALAAM(DMI):
- Fungua tovuti ya DMI ambayo ni www.dmi.ac.tz
- kisha itafunguka sehemu ya tovuti yetu.
- Bofya sehemu iliyo andikwa maombi kwa mtandao
- kisha soma maelekezo yaliyomo katika iyo sehemu iliyokuja.