KURIPOTI TAREHE 07.10.2024 WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NA OR-TAMISEMI

09 Jun, 2024

Wanafunzi wote mliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Bahari Dar es Salaam  na OR-TAMISEMI Mnatangaziwa kuripoti rasmi tarehe 07/10/2024 Chuoni.