BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU (HELSB) IMEANZA KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA STASHADA -2023/2024

09 Oct, 2023

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA UCHUKUZI

CHUO CHA BAHARI DAR ES SALAAM (DMI)

 

TANGAZO

Mkuu wa Chuo Cha Bahari Dar es Salaam anapenda kuwatangazia wanafunzi wote wa stashahada (NTA level5 na 6) kuwa bodi ya mikopo ya Elimu ya juu (HELSB) imeanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa stashahada kuanzia mwaka wa masomo 2023/2024.

Wanafunzi wote wa stashada mnahimizwa kutumia fursa hiyo.

 Kwa maelezo zaidi bonyeza link ifuatayo.

MWONGOZO BODI YA MIKOPO(HESLB)