KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA MAOMBI KWA NGAZI YA SHAHADA (BACHELOR DEGREE)

16 Jul, 2024

Dirisha la maombi kwa ngazi ya Shahada (Bachelor degree) limefunguliwa kuanzia tarehe 15 Julai, 2024 hadi tarehe 10 Agosti, 2024

Maombi yote yatumwe kupitia kiunganishi (link) ifuatayo;

Click here to apply