TARATIBU ZA KUAPEAL MITIHANI
Kama hujaridhishwa na matokeo yako ya mitihani,Nenda ofisi ya examination office,jaza form za kuapeal,lipia gharama za kuabili.then subiri majibu yako ya apeal.
NOTE:Appeal zote lazima ziwasilishwe kwenye ofisi hii kwa maandishi