KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA MAOMBI KWA NGAZI YA ASTASHAHADA (CERTIFICATE) NA STASHAHADA (DIPLOMA)

28 May, 2024

Dirisha la maombi kwa ngazi ya Astashahada (Certificate) na Stashahada (Diploma) limefunguliwa. 

Maombi yote yatumwe kupitia kiunganishi (link) ifuatayo;

Online Application System